Friday, May 3, 2013

Na Baraka Mpenja kwa Msaada wa Sportsmail.com

Baada ya kusambaa kwa taarifa za kocha wa Real Madrid Mario Jose Dos Santos Mourinho katika vyombo vya habari kuwa anataka kurudi klabu yake ya zamani, Chelsea ya London, leo hii kocha huyo amesema mpaka sasa hajafanya maamuzi wapi anaelekea baada ya kufikiria kuachana na klabu yake ya sasa.
Mourinho baada ya jumanne ya wiki hii kutolewa na Borussia Dortmund ligi ya mabingwa barani ulaya alisema kuwa kwa sasa anataka kurudi Uingereza na anapenda ligi ya huko tofauti na Uhispania.
Kocha huyo mwenye maneno mengi katika mkutano na waandishi wa habari leo hii kuelekea katika mchezo wa kesho dhidi ya Real Valladolid hajasema lolote mbali na kuzungumzia mchezo huo.
Mourinho alisema “Haina maana kuongelea hilo kwa sasa kama naenda ama la, kama naenda sitahitaji kutoa maelezo”
Aliongeza kuwa yeye ni kocha mtaalamu na bado anaiheshimu klabu yake ya sasa lakini akimaliza ligi atazungumza wapi anakwenda.
“Sijachukua maamuzi mpaka sasa, kwanza mkumbuke kuwa mke wangu na wanangu ndio wanajua mimi naenda wapi”. alisistiza Mourinho.
Kocha alisisitiza kuwa ataongeza zaidi baada ya ligi kuisha kwani bado ana mechi kadhaa, pia anacheza fainali ya kombe la Copa del Rey.
No decision: Real Madrid boss Jose Mourinho has insisted he has not made any decision about his future 
SIJAAMUA BADO: Jose Mourinho alisisitiza sijachukua maamuzi mpaka sasa kuhusu maisha yangu ya baadaye
Secret: Mourinho said his family will know first 
SIRI KUBWA: Mourinho Alisema familia yake ndio wanajua wapi anaenda
Speculation: Rumours abound that Mourinho is set to make a shock comeback to Chelsea 
TAARIFA ZA CHINI CHINI:   Mourinho anajipanga kurudi Chelsea.

0 comments:

 
voyeur porn porn movies sex videos hd porno video