Mkurungenzi msaidizi Wizara ya Kazi na Ajira,
Bw.Ally Msaki akisoma hotuba wakati akifungua mkutano wa kimataifa wa
siku tatu kutoka nchi mbalimbali za Afrika unaojadili wafanyakazi wa
majumbani , wa ndani kwa nchi za Afrika ikiwemo Tanzania. Mkutano hauo
uliandaliwa na shirika la kazi duniani ILO unaofanyika kwenye ukumbi wa
Kazi House ILO jijini Dar es salaam leo.
Wawakilishi
kutoka nchi za Afrika wakiwa kwenye mkutano wa siku tatu wa kujadili
wafanyakazi wa majumbani ambao umefanyika katika ukumbi wa Kazi House,
jijini Dar es salaam




(PICHA NA PHILEMON SOLOMON WA FULLSHANGWE)
0 comments:
Post a Comment