Warembo
wanaoshiriki shindano la Redd’s Miss Kigamboni wakiwa kwenye mazoezi
kwa ajili ya kujiandaa na kinyang’anyiro hicho kitakachofanyika Ijumaa
Juni 7 mwaka huu kwenye ukumbi wa Navy Beach ulioko Kigamboni.
Warembo
wanaoshiriki shindano la Redd’s Miss Kigamboni wakiwa katika picha ya
pamoja wakati wa mazoezi yao kwa ajili ya kujiandaa na kinyang’anyiro
hicho kitakachofanyika Ijumaa Juni 7 mwaka huu kwenye ukumbi wa Navy
Beach ulioko Kigamboni.
0 comments:
Post a Comment