Waziri Mkuu, Mizengo Pinda na MwadahamaPolycarp Kaldianali Pengo
(kushoto) wakishuhudia wakati Mhashamu Titus Mdoe, Askofu Msaidi wa
Jimbo Kuu la Dar es salaam katika Ibada ya kumsimika Askofu huyo
zilizofanyika kwenye viwanja vya Msimbazi Centre jijini Dar es salaam Me
1, 2013. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri
Mkuu, Mizengo Pinda akimkabidhi zawadi ya picha Askofu Msaidizi wa
Jimbo Kuu la Dar es slaam, Mhashamu Titus Mdoe katika ibada ya kumsimika
askofu huyo iliyofanyika kwenye viwanja vya Msimabazi Centre jijini Dar
es salaam, Mei 1, 2013 . kulia ni Mke wa Waziri Mkuu, Mama Tunu Pinda.
(picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri
Mkuu, Mizengo Pinda akisalimiana na Askofu Msaidizi wa Jimbo Kuu la
Dar es slaam, Mhashamu Titus Mdoe katika ibada ya kumsimika askofu huyo
iliyofanyika kwenye viwanja vya Msimabazi Centre jijini Dar es salaam,
Mei 1, 2013 . kulia ni Mke wa Waziri Mkuu, Mama Tunu Pinda. (picha na
Ofisi ya Waziri Mkuu)
0 comments:
Post a Comment