Thursday, May 16, 2013

Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akisalimiana na Mwakilishi wa Shirika la Umoja wa Mtaifa la Kuhudumia Wakimbizi (UNHCR), Joyce Mends-Cole kabla ya mazungumzo yao, ofisini kwa Waziri Mkuu Mjini Dodoma , May 16,2013. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu) IMG_4827 
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akizungumza na Mwakilishi wa Shirika la Kuhudumia wakimbizi la Umoja wa Mataifa (UNHCR), Joyce Mends-Cole, Ofisini kwa Waziri Mkuu, Mjini Dodoma May 16, 2013. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu) IMG_4851 
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akipata Maelezo kuhusu mizinga ya nyuki  iliyofinyangwa kwa udongo kutoka kea Mkurugenzi wa Shirikala African SoilHives Technology la mafinga Iringa, Donald Kalinga (kushoto) kwenye makazi yake Mjini Dodoma May 14,2013. Wengine pichani kutoka kushoto ni Farida Mgalama, Tekla Pila na Beather Mkono, wote ni wananchama wa Shirika hilo.(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu) IMG_4876Watalaamu wa nyuki kutoka Kampuni ya National Beekeeping Supplies Limited ya Dodoma, David Kamala  (kushoto) na Abubakar Salum wakilina asali kwenye shamba la ufugaji nyuki na kilimo la Waziri Mkuu, Mizengo Pinda lililopo Zuzu Mjini Dodoma, May 15, 2013 usiku. Mzinga mmoha ulitoa wastani wa lita 10 za asali. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu) IMG_4964 
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda  akijibu maswali Bungeni Mjini Dodoma, May 16, 2013. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda  akijibu maswali Bungeni Mjini Dodoma, May 16, 2013. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
IMG_5006 
Waziri wa Mawasiliano na Uchukuzi, Harison Mwakyembe akisoma Hotuba ya Bajeti ya Wizara hiyo, Bungeni Mjini Dodoma, May 16, 2013.(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

0 comments:

 
https://www.sexmutant.com/ https://www.sexindrag.com/ porn movies sex videos hd porno video