Mke
wa Rais Mama Salma Kikwete akipokea zawadi ya picha kutoka kwa Daktari
Bingwa wa watoto Jerome Paulson aliyeambatana na Mkewe pamoja na
viongozi wa Chama cha Madaktari wa watoto hapa Tanzania (Paediatrc
Association of Tanzania-PAT). Kutoka kushoto ni Dr. Augustino Masawe
akifuatiwa na Rais wa Chama cha Madaktari wa watoto nchini (PAT) Dr.
Rodrick Kisenge, Mrs Jerome na kwa nyuma ni Dr. Francis Furia,Mjumbe na
Dr. Hadija Mwamtemi, Mwekahazina wa chama hicho.
Mke
wa Rais Mama Salma Kikwete akifanya mazungumzo na Daktari Bingwa wa
Watoto Jerome Paulson kutoka Marekani na Viongozi wa Chama cha Madaktari
wa Watoto hapa Tanzania kwenye ukumbi wa mikutano wa Taasisi ya
Wanawake na Maendeleo, WAMA, tarehe 21.5.2013.
PICHA NA JOHN LUKUWI
0 comments:
Post a Comment