Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akisoma hotuba yake ya ufunguzi wa Maonyesho ya
Nane ya Vyuo Vikuu kutoka nchi mbalimbali, yatakayofanyika kwa siku
tatu katika Ukumbi wa Diamond Jubilee jijini Dar es Salaam. Maonyesho hayo yamefunguliwa leo Mei 22, 2013. Picha na OMR
Baadhi
ya washiriki wa maonyesho ya Nane ya Vyuo Vikuu kutoka nchi
mbalimbali, wakimsikiliza Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, wakati akisoma hotuba yake ya
kufungua rasmi maonyesho hayo ya siku tatu katika ukumbi wa Diamond Jubilee jijini Dar es Salaam. Picha na OMR
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akizungumza na Maofisa wa mfuko wa PPF, kutoka (kushoto)
ni Meneja wa Kanda ya Ilala, Evans Musiba, Meneja Uhusiano, Lulu
Mengele na Ofisa Masoko, Sereki Michael, wakati alipotembelea katika
banda la maonyesho la PPF, leo Mei 22, 2013 kwenye maonyesho ya Nane ya
Vyuo Vikuu kutoka nchi mbalimbali yanayofanyika kwa siku tatu katika Ukumbi wa Diamond Jubilee jijini Dar es Salaam. Picha na OMR
Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal,
akisikiliza maelezo kutoka kwa Mhitimu wa Chuo Kikuu cha
Makerere, Africa Junior, kuhusu Kituo cha utafiti wa Usafirishaji,
wakati alipotembelea kwenye banda la Chuo Kikuu cha Makerere kwenye Maonyesho
ya Nane ya Vyuo Vikuu kutoka nchi mbalimbali yanayofanyika kwa siku
tatu katika Ukumbi wa Diamond Jubilee jijini Dar es Salaam. Picha na OMR
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akisikiliza maelezo kutoka kwa, Ofisa Udahiri Mwandamizi
wa Tume ya Vyuo Vikuu Tanzania, Hilder Kawiche, wakati alipotembelea
Banda hilo kwenye Maonyesho ya Nane ya Vyuo Vikuu kutoka nchi mbalimbali yanayofanyika kwa siku tatu katika Ukumbi wa Diamond Jubilee jijini Dar es Salaam. Picha na OMR
Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal,
akisikiliza maelezo kutoka kwa, Makamu Mwenyekiti wa Chuo
Kikuu cha United African-Tanzania, Jo, Do Hyun, kuhusu matumizi ya gari
ndogo inayotumia Chaji ya Umeme wakati alipotembelea katikia Banda
hilo,kwenye Maonyesho ya Nane ya Vyuo Vikuu kutoka nchi mbalimbali
yanayofanyika kwa siku tatu katika Ukumbi wa Diamond Jubilee jijini Dar es Salaam. Picha na OMR
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akizungumza na Sakina Taki (kushoto) na Tannaz Naseri,
kutoka ‘University of the Future’ , Kuala Lumpur, wakati alipotembelea
Banda hilo kwenye Maonyesho ya Nane ya Vyuo Vikuu kutoka nchi mbalimbali yanayofanyika kwa siku tatu katika Ukumbi wa Diamond Jubilee jijini Dar es Salaam. Picha na OMR
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akiwa katika picha ya pamoja na baadhi ya washiriki wa maonyesho hayo.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akiwa katika picha ya pamoja na baadhi ya washiriki wa maonyesho hayo.
0 comments:
Post a Comment