Friday, May 3, 2013

Wazee wa Chama cha Mapinduzi,pamoja na Viongozi wa
wakimsikiliza Makamu Mwenyekiti wa CCM Zanzibar na Rais wa Zanzibar na
Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein,katika mkutano
wa majumuisho ya ziara aliyoifanya katika Mkoa wa Kaskazini
Unguja,mkutano ulifanyika jana ukumbi wa Ofisi ya Jimbo Kinduni. IMG_9695 
Wazee wa Chama cha Mapinduzi,pamoja na Viongozi wa
wakimsikiliza Makamu Mwenyekiti wa CCM Zanzibar na Rais wa Zanzibar na
Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein,katika mkutano
wa majumuisho ya ziara aliyoifanya katika Mkoa wa Kaskazini
Unguja,mkutano ulifanyika jana ukumbi wa Ofisi ya Jimbo Kinduni. IMG_9703 
Makamu Mwenyekiti wa CCM Zanzibar na Rais wa Zanzibar
na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein,akizungumza
na Viongozi wa CCM,katika mkutano wa majumuisho ya ziara aliyoifanya
katika Mkoa wa Kaskazini Unguja,mkutano ulifanyika jana ukumbi wa
Ofisi ya Jimbo Kinduni,(kushoto) Makamo wa Pili wa Rais Balozi Seif
Ali Iddi,pia Mbunge wa Jimbo la Kitope,na Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa
Kaskazini Haji Juma Haji,(wa pili kushoto). IMG_9709 
Makamu Mwenyekiti wa CCM Zanzibar na Rais wa
Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed
Shein,akizungumza na Viongozi wa CCM,katika mkutano wa majumuisho ya
ziara aliyoifanya katika Mkoa wa Kaskazini Unguja,mkutano ulifanyika
jana ukumbi wa Ofisi ya Jimbo Kinduni.[Picha zote na Ramadhan
Othman,Ikulu.] IMG_9711 

Othman,Ikulu.]

0 comments:

voyeur porn porn movies sex videos hd porno video