Bondia Amosi Mwamakula kushoto akitunishiana misuli na Ibrahimu Class ‘King Class Mawe’ baada ya kupima uzito leo kwa ajili ya mpambano wao utakaofanyika siku ya mei mosi katika ukumbi wa PTA Sabasaba picha na www.superdboxingcoach.blogspot.com |

Mabondia Yusuph Jibaba kushoto akitunishiana misuli na Shabani Mhamila ‘Star Boy’ baada ya kupima uzito kwa ajili ya mpambano wao wa mei mosi utakaofanyika katika ukumbi wa PTA Sabasaba picha na www.superdboxingcoach.blogspot.com |
Bondia Ibrahimu Class ‘King Class Mawe’ akipimwa afya katikati ni mpinzani wake Amosi Mwamakula picha na www.superdboxingcoach.blogspot.com |
Bondia Shabani Mhamila ‘Star Boy’ akipimwa Afya leo kwa ajili ya mpambano wake |
Bondia Amos Mwamakula akipimwa Afya |
0 comments:
Post a Comment