Na Baraka Mpenja wa msaada wa Sportsmail.com, soccerstand.com
ARSENAL
na TOTTENHAM, leo kwenye BPL, Barclays Premier League, zimepata ushindi
wa Bao 1-0 kila mmoja na kuzidi kuleta msisimko wa nani watamaliza 4
Bora pamoja na Mabingwa Manchester United, hasa baada ya Man City kutoka
sare iliyoleta hati hati kuwa hata wao wanaweza wakaikosa nafasi ya
Pili.
Lakini
kivutio cha leo ni Bao la Theo Walcott alipofunga Goli hilo katika
Sekunde ya 20 na kumpiku Robin van Persie aliefunga Bao katika Sekunde
ya 32 Man United ilipoifunga West Ham 1-0 Novemba 28 na hivyo Walcott
kushika Rekodi ya Bao la haraka kwenye BPL Msimu huu.
Bao
ambalo ndilo linashika Rekodi ya kuwa Bao la haraka kupita yote kwenye
Historia ya BPL ni lile la Beki wa Tottenham, Ledley King, alipofunga
katika Sekunde ya 10 hapo Desemba 9, Mwaka 2000 Tottenham walipotoka
sare ya 3-3 na Bradford City.
Theo Walcott akifunga bao pekee katika ushindi wa leo dhidi ya t Queens Park Rangers
VIKOSI KATIKA MCHEZO WA LEO
VIKOSI KATIKA MCHEZO WA LEO
QPR: Green, Ben Haim, Onuoha, Hill, Traore (Da Silva 90), Townsend, Jenas, Mbia (Derry 46), Remy, Park (Taarabt 79), Zamora.
Subs : Murphy, Mackie, Granero, Bothroyd. Booked: Derry, Jenas.
Arsenal: Szczesny, Sagna, Mertesacker, Koscielny, Monreal, Ramsey, Arteta, Rosicky (Vermaelen 90), Walcott, Cazorla (Wilshere 89), Podolski (Oxlade-Chamberlain 85).
Subs : Mannone, Coquelin, Jenkinson, Gervinho.
Referee: Jon Moss (W Yorkshire).
Subs : Murphy, Mackie, Granero, Bothroyd. Booked: Derry, Jenas.
Arsenal: Szczesny, Sagna, Mertesacker, Koscielny, Monreal, Ramsey, Arteta, Rosicky (Vermaelen 90), Walcott, Cazorla (Wilshere 89), Podolski (Oxlade-Chamberlain 85).
Subs : Mannone, Coquelin, Jenkinson, Gervinho.
Referee: Jon Moss (W Yorkshire).
Walcott (katikati) akishangia bao lake la sekunde ya 20 pamoja na wachezaji wenzake Bacary Sagna na Aaron Ramsey
WAKIFURAHI ZAIDI: Wachezaji wa Arsenal wakionesha furaha yao baada ya mchezo huo kumalizika
Bao la Walcott sekunde ya 20 ambalo ni bao la pili msimu huu wa ligi kufungwa mapema zaidi
Sasa msimamo wa timu za juu umekuwa kama hapo chini
Arsene Wenger akitabasamu baada ya kuibuka kidedea na kupanda mpaka nafasi ya tatu ya msimamo wa ligi kuu soka nchini England.
Santi Cazorla akipiga mashine ya ukweli lakini hakufunga bao
Wenger akisalimiana na kocha wa QPR Harry Redknapp kabla ya mchezo wa leo
KAZI KWISHA: Walcott akishangilia ushindi wa leo
Arsene Wenger akifoka katika mchezo wa leo
Moja kati ya shughuli za leo uwanjani baina ya wachezaji wa Arsenal na QPR
MATOKEO MENGINE YA LEO
England: Premier League
Finished
|
West Ham
|
0-0 |
Newcastle United
|
(0-0) | ||||||
Finished
|
Swansea
|
0-0 |
Manchester City
|
(0-0) | ||||||
Finished
|
Norwich
|
1-2 |
Aston Villa
|
(0-0) | ||||||
Finished
|
Fulham
|
2-4 |
Reading
|
(0-1) | ||||||
Finished
|
West Bromwich Albion
|
2-3 |
Wigan
|
(1-1) | ||||||
Finished
|
Tottenham
|
1-0 |
Southampton
|
(0-0) | ||||||
Finished
|
Queens Park Rangers
|
0-1 |
Arsenal
|
0 comments:
Post a Comment