Mkuu
wa Jeshi la Polisi Nchini IGP Saidi Mwema akikagua gwaride
lililoandaliwa rasmi kwenye hafla ya kuwavisha nishani Maofisa, wakaguzi
na askari wa vyeo mbalimbali wa Kanda ya Mashariki. Hafla hiyo
ilifanyika jana Jijini Dar es Salaam.
Mkuu
wa Jeshi la Polisi Nchini IGP Saidi Mwema akikagua gwaride
lililoandaliwa rasmi kwenye hafla ya kuwavisha nishani Maofisa, wakaguzi
na askari wa vyeo mbalimbali wa Kanda ya Mashariki. Hafla hiyo
ilifanyika jana Jijini Dar es Salaam. Picha na Hassan Mndeme-Jeshi la
Polisi.

wa Jeshi la Polisi Nchini IGP Saidi Mwema(kushoto) na Mkuu wa Chuo cha
cha Polisi Dar es Salaam, Kamishna Msaidizi wa Polisi (ACP) Ali Lugendo
wakirudi jukwaa kuu baada ya IGP kukagua gwaride lililoandaliwa rasmi
kwenye hafla ya kuwavisha nishani Maofisa, wakaguzi na askari wa vyeo
mbalimbali wa Kanda ya Mashariki. Hafla hiyo ilifanyika jana Jijini Dar
es Salaam. Picha na Hassan Mndeme-Jeshi la Polisi.
Mkuu
wa Jeshi la Polisi Nchini IGP Saidi Mwema akimvisha nishani ya utumishi
uliotukuka Tanzania, Afisa Mnadhimu idara ya Upelelezi, Kamishna
Msaidizi Mwandamizi wa Polisi (SACP), Brown Lekey kwenye hafla ya
kuwavisha nishani Maofisa, wakaguzi na askari wa vyeo mbalimbali wa
Kanda ya Mashariki. Hafla hiyo ilifanyika jana Jijini Dar es Salaam.
Picha na Hassan Mndeme-Jeshi la Polisi.
Mkuu
wa Jeshi la Polisi Nchini IGP Saidi Mwema akimvisha nishani ya utumishi
uliotukuka Tanzania, Mkuu wa Kitengo cha maadili, Kamishna Msaidizi wa
Polisi (ACP), Patrick Byatao kwenye hafla ya kuwavisha nishani Maofisa,
wakaguzi na askari wa vyeo mbalimbali wa Kanda ya Mashariki. Hafla hiyo
ilifanyika jana Jijini Dar es Salaam. Picha na Hassan Mndeme-Jeshi la
Polisi.
Mkuu
wa Jeshi la Polisi Nchini IGP Saidi Mwema akimvisha nishani ya utumishi
mrefu Tanzania, Mkuu wa Mafunzo wa Jeshi la Polisi Kamishna Msaidizi
Mwandamizi wa Polisi (SACP), Elice Mapunda kwenye hafla ya kuwavisha
nishani Maofisa, wakaguzi na askari wa vyeo mbalimbali wa Kanda ya
Mashariki. Hafla hiyo ilifanyika jana Jijini Dar es Salaam. Picha na
Hassan Mndeme-Jeshi la Polisi.
Mkuu
wa Jeshi la Polisi Nchini IGP Saidi Mwema akimvisha nishani ya utumishi
mrefu Tanzania, Kamanda wa Polisi Mkoa wa Kinondoni, Kamishna Msaidizi
wa Polisi (ACP), Charles Kenyela kwenye hafla ya kuwavisha nishani
Maofisa, wakaguzi na askari wa vyeo mbalimbali wa Kanda ya Mashariki.
Hafla hiyo ilifanyika jana Jijini Dar es Salaam. Picha na Hassan
Mndeme-Jeshi la Polisi.
Mkuu
wa Jeshi la Polisi Nchini IGP Saidi Mwema akimvisha nishani ya utumishi
mrefu na tabia njema, Sajini Meja kwenye hafla ya kuwavisha nishani
Maofisa, wakaguzi na askari wa vyeo mbalimbali wa Kanda ya Mashariki.
Hafla hiyo ilifanyika jana Jijini Dar es Salaam. Picha na Hassan
Mndeme-Jeshi la Polisi.
Mkuu
wa Jeshi la Polisi Nchini IGP Saidi Mwema akimvisha nishani ya Mwenge
wa Uhuru daraja la nne, Mrakibu Mwandamizi, Athumani Mwambalaswa kwenye
hafla ya kuwavisha nishani Maofisa, wakaguzi na askari wa vyeo
mbalimbali wa Kanda ya Mashariki. Hafla hiyo ilifanyika jana Jijini Dar
es Salaam. Picha na Hassan Mndeme-Jeshi la Polisi.
Mkuu
wa Jeshi la Polisi Nchini IGP Saidi Mwema akimvisha nishani ya mwenge
wa uhuru daraja la nne, Sajini Martha Njau kwenye hafla ya kuwavisha
nishani Maofisa, wakaguzi na askari wa vyeo mbalimbali wa Kanda ya
Mashariki. Hafla hiyo ilifanyika jana Jijini Dar es Salaam. Picha na
Hassan Mndeme-Jeshi la Polisi.
0 comments:
Post a Comment