Wednesday, May 15, 2013

Naibu Kamishna wa TRA Bw,Rished Bade akizungumza wakati alipokuwa anazindua kifaa cha kulipia Kodi Kielectroniki kijulikanacho kama EFD ambapo amesema kuwa  wanatarajia wafanyabihashara laki mbili kuanza kutumia kifaa hicho, na ameongeza kuwa Mashine hizo zitakuwa na Betri itakayomwezeha Mfanyabihashara kutumia bila Umeme.uzinduzi huo ulifanyika kwenye hotel ya Serena jijini Dar es salaam leo.
002 
Hawa ni Baadhi ya wadau kutoka TRA pamoja na wafanyabihashara waliohudhuria katika Uzinduzi huo wakifuatilia kwa umakini hotuba ya Naibu Kamishna wa TRA Bw,Rished Bade.

0 comments:

 
voyeur porn porn movies sex videos hd porno video