Friday, May 3, 2013

Askofu msaidizi Kanisa katoliki wa Jimbo kuu la Dar Es Salaam Mhashama Euseblus Nzigirwa akizungumza katika Harambee hiyo 13
Bw.Justine Nyenza ambae alizaliwa tarehe kama kituo cha Radio Maria akikata keki kama ishara ya kusherekea tangu kuanzishwa kwa Radio hiyo. wakati wa sherehe za miaka 17 ya Radio Maria na harambee ya kuchangia mipangilio ya vipindi  ilifanyika jana katika ukumbi wa Msimbazi Center jijini Dar es salaam.

Na Philemon Solomon
Wito umetolewa kwa Watanzania wote nchini kusikiliza au kusoma habari za kujenga na zenye maadili kwa Jamii inayowazunguka ili kujenga maadili ya kimwili na kiroho.
 Akizungumza Askofu msaidizi Kanisa katoliki wa Jimbo kuu la Dar Es Salaam Mhashama Euseblus Nzigirwa amesema  watanzania wengi wanapenda kusikiliza habari mbaya za kubomoa kuliko kusikiliza habari za kufundisha, hivyo amewataka wazazi na walezi waanze pamoja na watoto kusikiliza vipindi vinavyo fundisha kimwili kiroho na kiadilifu.
 Mhashamu EUSEBIUS ameongezea kwa kusema kuwa kutokana na hali ya sasa ya bungeni ilivyo jitokeza kwa kurushiana maneno yasiyo faa na wakati wao ni watu wazima imeonekana kama wakati wabunge hao wakiwa watoto hawakupata malezi yasiyofaa, hivyo imepelekea watu kuona hizo kauli chafu za wabunge wamejifunzia toka nyumbani wakiwa watoto ndiyo maana leo wanazitoa bila kujali.

0 comments:

 
voyeur porn porn movies sex videos hd porno video