HALMASHAURI YA MTAA WA CHANG`OMBE ‘B’ WATEMBELEA KIWANDA CHA BIA CHA SERENGETI Mkurugenzi mtendaji wa kampuni ya bia ya Serengeti Steve Gannon, katika picha ya pamoja na viongozi wa mtaa wa Chang`ombe `B’ baada ya kutembelea kiwanda cha bia cha Serengeti jana jijini Dar es Salaam. Mwenyekiti wa mtaa wa Chang`ombe `B’ Ahmad Khadil akizungumza na wana habari kwa niaba ya viongozi wenzake mara baada ya kutembelea mtambo wa kusafisha maji taka na kuua kemikali ndani ya kiwanda cha Bia cha Serengeti jana jijini Dr es Salaam. Mfanyakazi wa kiwanda cha Serengeti akimuonesha mwenyekiti wa Chang’ombe` B’ aina ya ngano inayotumika katika utengenezaji wa vinywaji vinavyozalishwa kiwandani hapo. Mtambo wa kudhibiti maji taka na kuua kemikali. Mtaalamu wa mtambo wa kudhibiti maji taka Simon Peter kutoka kampuni ya bia ya Serengeti akitoa maelekezo kuhusu namna mtambo huo unavyofanya kazi katika namna ya utunzaji wa mazingira Mtambo wa kudhibiti maji taka na kuua kemikali
0 comments:
Post a Comment