Hali
ilivyokuwa Iringa jana kama yanavyoonekana magari ya polisi baada ya
jeshi la polisi kurusha mabomu ya machozi ili kutawanya wafanyabiashara
ndogondogo Wamachinga jana mjini Iringa ambapo pia mbunge wa jimbo la
Iringa mjini Mchgaji Peter Msigwa alikamatwa kwa madai ya kusababisha
vurugu hizo(PICHA KWA HISANI YA MJENGWA BLOG)
Mbunge wa Iringa mjini Peter Msigwa akiwa katika gari lake huku likikokota tela lililojaza wamachinga wakipita mtaani
0 comments:
Post a Comment