Flaviana
Matata akiwa Baba yake mzazi katika Misa ya maombelezo Ajali ya MV
Bukoba ambapo Flaviana alimpoteza Mama yake mzazi, Igoma,Mwanza
Flaviana
Matata akiwasha mshumaa ikiwa ni ishara ya kuomboleza katika Makaburi
ya Igoma Mwanza walikozikwa baadhi wananchi walopoteza maisha yao miaka
17 iliyopita.
Flaviana Matata akiwa na marafiki na baadhi ya waombolezaji waliopoteza ndugu zao katika ajali hiyo.
0 comments:
Post a Comment