Saturday, May 4, 2013

Na Baraka Mpenja kwa Msaada wa Sportsmail.com
Meneja wa mabingwa wapya wa ligi kuu soka nchini Uingereza, Manchester United ” Mashetani wekundu”, mskotish Alexndar Chapman Ferguson “Kibabu Fergie”  atakosa mwanzo wa msimu ujao wa ligi hiyo wakati timu yake itakapoanza kampeni ya kuutetea ubingwa wake kutokana na mipango ya kwenda kufanyiwa upasuaji msimu wa kiangazi barani ulaya.
Haijabanishwa wazi kuwa Fergie mwenye miaka 71 kwa sasa atafanyiwa upasuaji sehemu gani,  lakini ametajwa kuwa na matatizo ya kiafya mara kadhaa na njia pekee ni kufanyiwa upasuaji.
Huduma hiyo ya kiafya itafanyika wakati klabu ya United ikiwa tayari imesharejea nyumbani kutoka katika ziara ya maandalizi ya msimu wa ligi kuu soka Uingereza msimu wa 2013/2014.
United itarudi England siku 18 kabla ya kuanza kwa msimu mpya na inasemekana muda huo hautatosha kwa kocha wake kurudi kazini mara moja kutokana na zoezi hilo.
United wamethibitisha kuwa meneja huyo aliyewaongoza kutwaa ubingwa wa 20 mwaka huu atafanyiwa upasuaji huo lakini zoezi hilo halina madhara katika nafasi yake kwani itabaki pale pale.
Katika maandalizi ya msimu mpya wa ligi kuu England, mipango ya United ni kufanya ziara ya wiki tatu katika nchi ya Thailand, Austria, Japan na Hong Kong na kurejea julai 30 mwaka huu ili kujandaa na mechi ya ufunguzi kati ya Man city au Wigan Agosti 11.
Going under the knife: Sir Alex will have surgery on his hip this summer and will miss the start of the season 
Siku zote Ferguson huwa anasema afya yake ndiyo itabainisha anakaa Old Traford kwa muda gani
No letting up: Sir Alex has no plans to retire, even after landing the club's 20th title this year 
Kibabu Fergie akiwa na kocha wa Arsenal, mzee Arsene Wenger kwenye moja ya mechi ya Man U na Arsenal
No letting up: Sir Alex has no plans to retire, even after landing the club's 20th title this year
 Mzee kibabu hana mipango ya kujiuzulu hata baada ya kuipa united ubingwa wa 20 mwaka huu.

0 comments:

 
voyeur porn porn movies sex videos hd porno video