Gari
ya kubebea wagonjwa Ambulance inaonekana kuteketea kwa moto baada ya
kuchomwa katika vurugu zilizoripotiwa kutokea mkoani Mtwara
Majengo yanayotajwa kuwa ofisi zimechomwa moto
Vurugu
hizi zimetokea siku chache baada ya Wizara ya Nishati na Madini kusema
kuwa bomba la gesi linajengwa kutoka Mtwara kwenda Dar es salaam na
leo hii Wananchi wa Mtwara wacharuka!
Tukio hili liliendela wakati bajeti ya nishati na madini ikiendelea kujadiliwa Bungeni.
Endelea kuwa nasi mpaka hapo baadae ambapo tutaweza kukujuza zaidi kile ambacho kinaendelea kutukia Mtwara.
Endelea kuwa nasi mpaka hapo baadae ambapo tutaweza kukujuza zaidi kile ambacho kinaendelea kutukia Mtwara.
CHANZO NI SWAHILI BLOG VIA JAMII FORUMS
0 comments:
Post a Comment