WAREMBO WAENDELEA KUJIFUA REDD;S MISS ARUSHA CITY 2013 Kinywaji cha Redd’s chapambisha shindano la Redds Miss Arusha City Centre 2013. Warembo wa shindano la kumtafuta mshindi wa shindano la Redd’s Miss Arusha City Centre wakiwa katika mazoezi ya pamoja kujiandaa na shindano lao ambapo jumla ya warembo ishirini na mbili wanatarajiwa kupanda ukumbini kumtafuta mshindi mmoja
0 comments:
Post a Comment