![]() |
PETER MWENDA |
Vikundi
ambavyo vimethibitisha kushiriki pamoja na Kaole Sanaa
Group,Splendid,Uyoga Boga na vingine katika fani ya Bongo
Flava,Taarab,Maigizo,Ngoma,Mazingaombwe,Sanaa za Ufundi,Kung
Fu,Sarakasi,Kusheki,Kwaya,na Ngonjera.Maonesho kama haya yatafanyika
kila mwezi na kiingilio ni bure na vikundi vingine ni Super Shine Morden
Taarab,Zijiu,Edeneza Brass Band,Asili Africa,Mege Arts,Kintu,Army
Kwanza,Wachapakazi,Tanhope,Tanz Arts,Mshikamano,Big House,Lutenga
Boys,Kilimasta,Manuary.
Vikundi
ambavyo vimethibitisha kushiriki pamoja na Kaole Sanaa
Group,Splendid,Uyoga Boga na vingine katika fani ya Bongo
Flava,Taarab,Maigizo,Ngoma,Mazingaombwe,Sanaa za Ufundi,Kung
Fu,Sarakasi,Kusheki,Kwaya,na NgonjeraMaonesho kama haya yatafanyika kila
mwezi na kiingilio ni bure na vikundi vingine ni Super Shine Morden
Taarab,Zijiu,Edeneza Brass Band,Asili Africa,Mege Arts,Kintu,Army
Kwanza,Wachapakazi,Tanhope,Tanz Arts,Mshikamano,Big House,Lutenga
Boys,Kilimasta,Manuary.
Madhumuni
makubwa ya tamasha hilo ni kuibua vipaji vya wasanii chipukizi ili kazi
zao ziweze kupata soko hivyo mapromota, Majd,Maproducer wa filamu
wasikoke kufika katika maonesho hayo ili kuona mastaa chipukizi ambao
ambavyo vipaji vyao bado havijaonekana.Vijana wa sanaa mbalimbali
wanatakiwa kufika katika ofisi za SHIWATA zilizopo Bungoni Ilala ili
kujisajili kwa ajili ya maonesho mengine yanayofuata .
Tanzania
kuna wasanii wengi wenye vipaji lakini kazi zao hazisikiki wala
kuonekana kwenye vyombo vya habari hivyo hiyo ni fursa kutumia maonesho
hayo kama soko la kazi zao katika jiji la Dar es Salaam.Wasanii
mbalimbali ambao vipaji vyao vitakubalika sokoni watanufaika kupata
ajira ya kuuza kazi zao pamoja na kushiriki katika matamasha mbalimbali
ndani na nje ya nchi.
Peter Mwenda
Ofisa Habari wa SHIWATA
0715/0752 222677
0 comments:
Post a Comment