Matokeo ya baadhi ya mechi za leo, Ulaya.
MARSENAL 1 Vs 1 MANCHESTER UNITED
RVP akifanya mambo mbele ya beki wa Arsenal. |
T.Walcoti alifumania nyavu ya Man U mapema dakika ya 2 ya mchezo, huku V.Persie akifunga goli la kusawazisha mnamo dakika ya 44 ya mchezo. Mchezo ulikuwa wa vuta ni kuvute, timu zote zilonekana kutumia hadi kupelekea promotion ya kadi ya manjano kwa wachezaji nane!
CHELSEA 2- 0 SWANSEA
kulia ni Oscar. |
Francis www.goal.com
0 comments:
Post a Comment