Sunday, April 28, 2013

Wakati Manchester united wakiendelea kusherehekea  ubingwa wa ligi kuu nchini uingereza walioutwaa  baada ya kuichapa klabu ya ASTON VILLAR  magoli 3-0 sikunchache zilizopita, leo wameshuka dimbani EMIRATE  kumenyana na  timu ya  ARSENAL maarufu kama  washika bunduki wa LONDON.

Manchester United celebrate winning the title, Shinji Kagawa, Rio Ferdinand, Antonio Valencia
Mnachester united wakishangilia kutwaa ubingwa wa ligi kuu nchini Uingereza 2012/2013.
    
Katika mchezo huo machester united itakuwa inacheza kukamilisha ratiba lakini pia kulinda heshima huku wao  ARSENAL  walioko nafasi  tatu wakiwa na pointi 63 kwenye msimamo wa ligi wakitafuta ushindi kwenye mchezo huo ili wajihakikishie uwezekao wa kubaki  katika  nafasi  nne bora.
Arsenal manager Arsene Wenger gestures to player as his team plays Aston Villa during their English Premier League soccer match at Emirates Stadium
Arsenal Wenger.
Hata hivyo katika mchezo wa leo klabu ya machester united ambao ni mara yao ya kwanza  kutembelea dimba la EMIRATE wakiwa na mshambuliaji ROBIN VAN PERSIE aliyejiunga na klabu hiyo msimu uliopita akitokea ARSENAL,  imetakiwa kuchukua tahadhari ya kutosha kwa mshambuliaji huyo dhidi  ya mashabiki wa ARESANAL wanaolalamika juu ya mwanasoka huyo kujiunga na klabu ya MANCHESTER UNITED.
Van Persie insists Gunner boo-boys will not affect him on Emirates return
Robin Van P ersie.
VAN PERSIE  ambaye ana magoli 28 kwenye klabu yake ya  sasa ya MANCHESTER UNITED  alijuanga na klabu hiyo August  mwaka jana  kwa pound  milioni 24.


EDEN HAZARD; LAZIMA TULIPIZE KISASI.
Mhambuliaji wa klabu ya CHELSEA  HAZARD amesema leo wanataka kulipiza kisasi dhidi ya klabu ya SWANSEA baada ya timu hiyo kuwatoa nje michuani ya  Capital One Cup mapema msimu huu.


Hazard wants 'revenge' against Swansea after Capital One Cup disappointment
wa kwanza kutoka kushoto, Eden Hazard.
HAZARD mwenye umri wa miaka  22 aliwahi kukumbwa na kashfa mbaya baada ya kumpiga teke kijana
muokota mipira pembeni mwa uwanja wakati timu yake ikimenyana na SWANSEA  kwenya michuano ya
Capital One Cup ambapo SWANSEA iliweza kuibuka na ushindi wa magoli 2-1

Francis Kivuyo                                                                               www.goal.com

0 comments:

 
voyeur porn porn movies sex videos hd porno video