Friday, April 26, 2013

MSHAMBULIAJI DAVIDI LUIS AFUNGA GOLI LA USHINDI DAKIKA YA 90 YA MCHEZO WAKATI KLABU YAKE IKICHEZA DHIDI YA FC BASEL.


David-Luiz - Chelsea
David Luis akishangilia goli la ushindi.

Mchezo huo ulifika tamati huku klabu ya CHELSEA ikiibuka mshindi baada ya mshambuliaji LUIS kuifungia timu hiyo goli la pili dakika ya 90 ya mchezo, goli la kwanza lilifungwa na Victor Moses mnamo dakika ya 12 ya mchezo huku goli la kufutia machozi kwa upande wa FC BASEL likitupiwa kambani na mshambuliaji F. Schar dakika ya 87 ya mtanange huo.

kushoto ni Victor Moses wa CHELSEA VS beki wa FC BASEL
@ twitter, goal.com

0 comments:

 
voyeur porn porn movies sex videos hd porno video