Na Baraka Mpenja
Mtu
mwenye rangi nyeusi kutoka nchini Afrika kusini Steven Pienaar amegeuka
lulu kwa klabu yake ya Everton baada ya kufunga bao pekee katika mchezo
wa ligi kuu soka nchini England dhidi ya Fullham.
Pienaar aliandika bao hilo kimiani katika dakika ya 16 ya kipindi cha kwanza akipokea pasi nzuri kutoka kwa Seamus Coleman.
Baada
ya nyota huyo kufunga alipandisha jezi yake kama anavyoonekana pichani
chini na kuonekana maneno “GOD IS GREAT” kwa tafsiri isiyo rasmi ” MUNGU
MKUBWA”.

Mungu Mkubwa: Steven Pienaar akionesha imani yake kwa mungu kumpa goli pekee

Wachezaji wa akiba: Mucha, Hibbert, Heitinga, Oviedo, Naismith, Duffy.
Goli: Pienaar 16.
Kadi ya njano: Osman
Kikosi cha Fulham: Schwarzer, Manolev, Senderos, Hangeland, Richardson (Duff 56), Emanuelson, Karagounis (Rodallega 77), Enoh, Kacaniklic, Ruiz, Berbatov (Petric 30).
Wachezaji wa akiba: Etheridge, Frimpong, Hughes, Frei.
Kadi ya njano: Enoh, Emanuelson.
Mwamuzi: Jon Moss.
Goli: Pienaar 16.
Kadi ya njano: Osman
Kikosi cha Fulham: Schwarzer, Manolev, Senderos, Hangeland, Richardson (Duff 56), Emanuelson, Karagounis (Rodallega 77), Enoh, Kacaniklic, Ruiz, Berbatov (Petric 30).
Wachezaji wa akiba: Etheridge, Frimpong, Hughes, Frei.
Kadi ya njano: Enoh, Emanuelson.
Mwamuzi: Jon Moss.

Dimitar Berbartov akishindwa kutumia nafasi moja nzuri aliyoipata katika mchezo wa leo

Nyoka wa Everton Nikica Jelavic akimhadaa mchezaji wa Fulham Giorgos Karagounis
0 comments:
Post a Comment