
Washiriki
kutoka Afrika yote waliowashinda wapinzani zao ili kuwakilisha nchi zao
sasa watakutana na timu bora za Pan-African ambazo zina maarifa na
ujuzi zaidi. Katika hatua hii ya robo fainali washiriki wanawania
kushinda hadi dola za Kimarekeni 250,000.
Kila
timu sasa itacheza kuwakilisha nchi yake na kuonesha uwezo wao katika
kusakata kabumbu. Washiriki watahitaji kucheza vizuri kwa kiwango cha
juu katika mchezo ili kujipa nafasi ya kushinda mashindano haya na
kufanya nchi zao kujivunia.
Timu nne zitakazo shiriki katika robo fainali ya kipindi cha kwanza ni:
- Gregory DoamekpornaKyei Edmond Nana, wenyeumriwamiaka 21 kutokaAccra,Ghana.Hawawalikuwawashindikatikasehemuya kwanza ya GUINNESS FOOTBALL CHALLENGE Ghana.Gregory nimwanafunziwaSaikolojianandiyekichwa cha timuwakatiKyeinimwanafunziwaMahusianoyajamii,atakuwaanachezeampira.
- Timukutoka Uganda itakuwepopia, IbraKawooya(30)na Alex Muyobo(31),wotemashabikiwaMan.United, Ibraatakuwakichwa cha timuwakati Alex atachezauwanjani.
- Kutoka Cameroon watakuwaEmerandTchouta(24) na Abdul Salam(25).Emerandatakuwakichwa cha timunaAbdul ataoneshauwezowakusakatakabumbu.Japowalifanikiwakuondokanadola 1,500tulakiniwalioneshakiwangokizurihivyowananafasikubwayakushinda.
- Timunyinginekutoka Kenya Francis Ngigi(23) kutoka Nairobi naKephaKimani(25)kutokaThika.Timuhiiilishindadola 3,000katikamashindanoya GUINNESS FOOTBALL CHALLENGE.Francis atakuwakichwa cha timuwakatiKephaataoneshakipajichake cha kuchezasoka.
Meneja
wa kinywaji cha Guinness, Davis Kambi alisema: “Tumeona timu mbalimbali
kutoka mataifa mbalimbali zilishindana kufikia hatua ya robo fainali ya
Pan-African- GUINNESS FOOTBALL CHALLENGE na sasa tunafurahia kuona timu
zetu bora katika hatua za mwisho. Kila timu imeiwakilisha vizuri nchi
yake na wamefanya vizuri katika mashindano haya kwa kujiamini. Sasa timu
zote zina nafasi ya kuthibitisha uwezo wao wa kucheza na si kuangalia
tu pale watakapo shindana ili kufikia nusu fainali.Tunasubiri kwa hamu
na kuzitakia timu zote kila la heri!”
Robo
fainali ya kwanza ya Pan-African itaoneshwa katika televisheni za ITV
na Clouds TV kwa hiyo hakikisha unaangalia na kuishangilia timu ya taifa
lako.
Wapenzi
wa kipindi hiki cha Guiness football challenge barani Afrika
wanakumbushwa kwamba nao wanaweza kushiriki kwa kufuatilia kwa karibu.
Wanaweza kufanya hivyo kwa kujisajili bure kabisa katika tovuti ya m.guinnessvip.com kwa kupitia simu ya mkononi.
Hakikisha kuufwatilia ukurasa wa facebook wa GUINNESS FOOTBALL CHALLENGE kwa habari mbalimbali.
GUINNESS
FOOTBALL CHALLENGE, ni kipindi cha mchezo wa soka kinachotayarishwa na
kampuni ya kimataifa ya Endemol. Usikose kuangalia na kufuatialia
kipindi hiki katika runinga yako kupitia televisheni za ITV na Clouds TV
kila siku ya Jumatano usiku.
Usisahau kuwa na chupa ya bia uipendayo ya Guiness wakati unaangalia kipindi hiki.
Tafadhali kunywa kistaarabu- Hairuhusiwi kuuzwa kwa wale wenye umri chini ya miaka 18.
0 comments:
Post a Comment