Kocha wa Man City,Roberto Mancini amempongeza rasmi Sir Alex Ferguson kwa kuweza kurejesha taji lake alilolipoteza msimu uliopita na kukubali kuwa United msimu huu walikuwa vizuri lakini kamwe wasitegemee City kufanya makosa kama haya msimu ujao wa ligi kuu soka nchini Uingereza.
Mancini amekubali kuwa Fergie alikuwa vziuri zaidi yao lakini mapambano yataendelea msimu ujao
![]() |
Fergie kushoto na Mancini Kulia |
![]() |
wachezaji wa United wakishangilia ubingwa wao |

Return: Silva should be back in the team for tomorrow's game against West Ham
0 comments:
Post a Comment