Saturday, April 27, 2013

Na Baraka Mpenja kwa msaada wa Sportsmail.com
Hatimaye dakika tisini za mchezo wa ligi kuu soka nchini England baina ya waliokuwa mabingwa wa ligi hiyo Manchester city dhidi ya West Ham United katika dimba la Etihad zimemalizika kwa kocha Roberto Mancini kuibuka na ushinidini wa 2-1.
Mabao ya City yametiwa kimiani na nyota wake Sergio Kun Aguero dakika ya 28 akipokea pasi kutoka kwa mfaransa Samir Nasri na katika dakika ya 83 gwiji la soka kutoka pwani ya magharibi mwa Africa, nchini Ivory Coast, Yaya Toure akazamisha gozi kimiani.
Wakati City wakiibuka kidedea leo hii, kocha wake tayari alishasema kuwa wanatakiwa kufanya usajili mzuri msimu ujao ili kushindana na watani zao wa jadi mashetani wekundu, Mnchester United.
Up and running: Sergio Aguero capped off a magical City move, pouncing onto David Silva's intricate pass to fire past Jussi Jaaskelainen 
Bao la kwanza la city likitiwa kimiani na Sergio Aguero huku kipa wa Westenham Jussi Jaaskelainen akiambulia manyoya.
Up and running: Sergio Aguero capped off a magical City move, pouncing onto David Silva's intricate pass to fire past Jussi Jaaskelainen 
Aguero na Nasri wakishangilia bao la kwanza kwa city jioni ya leo
Letting fly: Yaya Toure readies to unleash his howitzer, giving Jaaskelainen no chance 
Yaya Toure akipachika bao la tatu pili na la ushindi 
Match-winner: Yaya Toure's dazzling strike put the game beyond the visitors 
Wachezaji wa Man city wakishangilia bao la Toure
Tribute: Both sets of fans paid their respects to Marc-Vivien Foe in the 23rd minute following the Cameroonian's tragic death in 2003
Heshima: Leo mashabiki wa timu za City na Westham walisimam kwa heshima na mpira kusimama katika dakika ya 23 ya mchezo akiwa ni kumbukumbu ya Mcameroon Marc-Vivien Foe aliyefariki uwanjani mwaka 2003
Reflex save: Pablo Zabaleta forces Jaaskelainen into an excellent close-range save  
Pablo Zabaleta akipiga shuti na kuokolewa na kipa Jaaskelainen.
On target: Andy Carroll fires a shot on goal... 
Andy Carroll  akitia gozi kambani katika mchezo wa leo 
But Joe Hart lets the ball slip under his body...
Kipa wa city  Joe Hart akishangaa mpira ukizama kimiani
And into the back of the net...
 Mpira ukiwa nyavuni

0 comments:

 
voyeur porn porn movies sex videos hd porno video