Saturday, April 20, 2013


SERGIO KUN AGUERO
Kocha msaidizi wa klabu ya Manchester City ya England Brian Kidd amesema bado kocha mkuu Roberto Mancini anaamini timu yake itatetea ubingwa ligi kuu nchini England.
Kidd anasema Mancini anajua matokeo yaliyo kinyume na ushindi dhidi ya Tottenham siku ya jumapili ni sawa na kuwakabidhi ubingwa mapema  vinara Manchester  United endapo watashinda dhidi ya Aston Villa siku ya Jumatatu.
Man City watakuwa wakiangalia maendeleo ya washambuliaji wao Sergio Kun Aguero na David Silva kujua namna ya kuwatumia wakitokea katika majeraha.
 
Tottenham itamkosa mshambuliaji wake tegemeo Jermaine Defoe ambaye ni majeruhi huku Aaron Lennon akijikongoja kutoka katika hali hiyo pia Gareth Bale atarejea dimbani kwa mara ya kwanza baada ya kutoka kuwa majeruhi.
Manchester United imecheza mechi 33 ambapo inaongoza ikiwa na pointi 81 ikifuatiwa na mabingwa watetezi Man City wenye pointi 68 lakini wamecheza mechi 32.

Mchuano Mkali zaidi
Timu hizo zinachuana vikali kuwania ubingwa unaoshikiliwa timu hizo hasimu zinazotoka jiji moja la Manchester ambapo ubingwa lazima utue jijini humo lakini ni timu gani itauchukua ni utakaotoa jibu kwa mechi zilizosalia.
Katika kinyang’anyiro cha kushiriki ligi ya mabingwa Ulaya kumebaki nafasi tatu kwa Chelsea,Arsenal,Tottenham Hotspurs na Everton.Timu nne tu zinatakiwa zitakazoshindwa basi zitalazimika kupigania nafasi ya kushiriki Europa League maarufu kwa hapa nyumbani kama UEFA NDOGO.
Jermaine Defoe kushoto

0 comments:

 
voyeur porn porn movies sex videos hd porno video