Na Baraka Mpenja kwa msaada wa Sportmail.com
Majogoo
wa jiji ama wekundu wa Anfield wameshusha kipondo cha mbwa mwizi kwa
paka weusi Newcastle United kwa kuwabomoa bao 6-0 katika dimba la
matakatifu James Park.
Matokeo hayo yamempa wakati mgumu kocha wa Newcstle Alan Pardew ukizingatia msimu huu sio mzuri kwake.
Machungu
makubwa yamewapata Newcastle wakati kwa vijana wa Brendan Rodgers
furaha na nderemo zimejaa usiku huu baada ya kufanya mauaji makubwa sana
leo hii.


Kocha Alan Pardew hakika yupo hatarini sana msimu huu

Shangwe: Fabio Borini akishangilia bao lake la tano kwa majogoo wa jiji


Jose Enrique wa Liverpool (kushoto) akichuana na nyota wa Newcastle Moussa Sissoko

Daniel Sturridge akichukua gozi kutoka kwa Jonas Gutierrez wa Newcastle United

Jordan Henderson akishangilia bao lake leo

Sturridge akishangilia bao lake

Beki wa Nescstle Massadio Haidara akijaribu kuchukua mpira kutoka kwa nyota wa Liverpool Stuart Downing

Daniel Agger akiutazama mpira unaozama kimiani uliochongwa na Jordan Henderson
0 comments:
Post a Comment