Wednesday, April 24, 2013

Na Baraka Mpenja kwa msaada wa Sportsmail.com

Baada ya Barcelona kupigwa kipigo cha mbwa mwizi cha mabao 4-0 na Bayern Munich, sasa muda mfupi ujao watani zao wa jadi, Real De Madrid wanakaribishwa na nyuki wa kaskazini mashariki mwa Ujerumani, Borussia Dortmund katika dimba la Signal Iduna Park.
Dormund watawakaribisha Madrid wakiwa na kumbukumbu ya kutwaa ubingwa mara moja mnano mwaka 1998.
Mario Jose Dos Santos Ferlix Mourinho, kocha wa Real Madrid amesema mchezo ujao majira ya saa tatu dakika 45 zijazo ni mgumu sana ukizingatia wapinzani wao wapo nyumbani na wanataka kufanya kama wapinzani wao Bayern walivyowafanyia Barca.
Mourinho alisema atajitahidi kupata matokeo mazuri mbele ya Dortmund waliowatoa FC Malaga ya Hispania hatua ya Robo fainali.
Star man: Real Madrid will hope Cristiano Ronaldo can fire them into a first leg advantage
Nyota wa kweli: Real Madrid wanamtegemea Mreno Cristiano Dos Santos Aveiro Ronaldo
 kutafuta matokeo, je, ataweza baada ya Mpinzani wake mkubwa Lionel Messi kushindwa kuisadia timu yake kupata matokeo mbele ya The Bavarians?

0 comments:

 
voyeur porn porn movies sex videos hd porno video