Jordi Roura: “tunakaribia kutimiza malengo yetu”
Jordi Roura. |
Meneja msaidizi wa klabu ya FC Barcelona amesema ni aibu kubwa sana kwa Barca kutoa suluhu na Athletical Bilbao.
Akiongea kupita mtandao wa klabu hiyo ROURA amesa mchezo wao wa leo dhidi ya Athletic ilikuwani fedheha kwamba timu hiyo iliweza kupata goli la kusawazisha kwenye dakika za lala salama ya mchezo.
“Messi yuko poa.Maendeleo yake yana kwenda vizuri kama yalivyopangwa na alicheza vizuri pia kwenye mchezo wa leo.” hiyo ni kauli ya Roura alipoulizwa kuhusu Messi ambaye baadaye alitoka nje mnamo dakika ya 57 ya mchezo.
Hivyo ndivyo mabo yalivokuwa nou camp. |
Messi mwenye asili ya nchini Argentine ndiye aliyeifungie timu yake goli moja akipata assist kutoka kwa .
Rouura aliongeza kwa kusema, lazima tufikirie juu ya mchezo leo kwa upana zaidi ukizingatiani vigumu kushinda ugenini watakapo kutanatena tena Athletical.
FC BARCELONA YAFIKISHA MAGOLI ZAIDI YA 101 KWA MARA YA NNE MSIMU HUU!
Lionel Messi. |
114 goals 2011/12
105 goals 2008/09
102 goals 1996/97
101 goals 2012/13
98 goals 2009/10
96 goals 1958/59
95 goals 2010/11
92 goals 1951/52
91 goals 1993/94
Goli la Messi lililofanya Barca na Athletical Madid watoke sare ya goli
1-1 ndiyo iliyofanya barca kufikisha zaidi ya magoli 100 tena msimu
huu. 102 goals 1996/97
101 goals 2012/13
98 goals 2009/10
96 goals 1958/59
95 goals 2010/11
92 goals 1951/52
91 goals 1993/94
Hawa ndiyo walio iwezesha barca kufikisha kufikisha idadi ya magoli 100 kwa misimu tofauti iliyopita:
2011/12. Round 36 (04/29/12). Rayo-Barça: 0-7 (from 97 goals to 104). Goal 100: Keita.
2008/09. Round 34 (02/05/09). Madrid-Barça: 2-6 (from 94 goals to 100). Goal 100: Piqué
1996/97. Round 41 (06/15/97). Barça-Betis: 3-0 (from 97 goals to 100). Goal 100: Luis Enrique.
Kitu cha peke kwa BARCELNA ni kwamba kati ya magoli 101 iliyonayo mpaka sasa, Messi amefunga magoli 44 peke yake
chanzo;www.barcelona .cat.
0 comments:
Post a Comment