Na Baraka Mpenja kwa Msaada wa Sportsmail.com
Winga nyota wa watukutu wa London, Tottenham Hospurs, Gareth Bale ameonesha umahiri wake baada ya usiku wa jana kunyakua tuzo mbili yaani mchezaji bora wa mwaka katika tuzo ya PFA (chama cha soka England) na mchezaji chipkizi wa mwaka.
Bale mwenye umri wa miaka 23 amekuwa miongoni mwa wachezaji watatu tu waliotwaa tuzo mbili kwa mwaka mmoja akifuata nyayo za Andy Gray mwaka 1776-77 na Cristiano Dos Santos Aveiro Ronaldo miaka sita iliyopita.
Pia nyota huyo aliyejiunga na Spurs msimu wa 2010-2011 ameungana na wengine waliowahi kutwaa tuzo hiyo akiwemo Alan Shearer, Thierry Henry na Ronaldo kama wachezaji pekee waliowahi kutwaa tuzo hizo kwa mwaka mmoja.
1973–74 Norman Hunter Leeds United

Tuzo mbili: Gareth Bale ameshinda tuzo zote yaani mchezaji bora wa mwaka na mchezaji bora chipkizi wa mwaka usiku wa jana.
Washindi: Bale akiwa na mchezaji bora wa kike wa mwakaw Kim Little na mwenyekiti wa PFA Gordon Taylor
Wageni waalikwa katika hafla ya kugawa tuzo hizo wakiwemo wachezaji mbambali
Bale akishangilia moja kati ya magoli aliyofunga mechi za nyuma
Tuzo ya mwaka PFA: Bale alikuwa anapambana na watu wengi wa Manchester United
Bale baada ya kutwaa Tuzo hizo alisema ” Ni heshima kubwa kwangu, kupigiwa kura na wachezaji wenzangu ni kitendo kikubwa sana katika soka, nimefurahi sana kushinda tuzo hizi na itabaki kuwa historia kwangu”
Washindi wa miaka ya NyumaBale baada ya kutwaa Tuzo hizo alisema ” Ni heshima kubwa kwangu, kupigiwa kura na wachezaji wenzangu ni kitendo kikubwa sana katika soka, nimefurahi sana kushinda tuzo hizi na itabaki kuwa historia kwangu”
1973–74 Norman Hunter Leeds United
1974–75 Colin Todd Derby County
1975–76 Pat Jennings Tottenham Hotspur
1976–77 Andy Gray Aston Villa
1977–78 Peter Shilton Nottingham Forest
1978–79 Liam Brady Arsenal
1979–80 Liverpool FWA
1980–81 John Wark Ipswich Town
1981–82 Kevin Keegan Southampton
1982–83 Kenny Dalglish Liverpool
1983–84 Ian Rush Liverpool
1984–85 Peter Reid Everton
1985–86 Gary Lineker Everton
1986–87 Clive Allen Tottenham Hotspur
1987–88 John Barnes Liverpool
1988–89 Mark Hughes Manchester United
1989–90 David Platt Aston Villa
1990–91 Mark Hughes Manchester United
1991–92 Gary Pallister Manchester United
1992–93 Paul McGrath Aston Villa

1993–94 Eric Cantona Manchester United
1994–95 Alan Shearer Blackburn Rovers
1995–96 Les Ferdinand Newcastle United
1996–97 Alan Shearer Newcastle United
1997–98 Dennis Bergkamp Arsenal
1998–99 David Ginola Tottenham Hotspur
1999–2000 Roy Keane Manchester United
2000–01 Teddy Sheringham Manchester United
2001–02 Ruud van Nistelrooy Manchester United
2002–03 Thierry Henry Arsenal
2003–04 Thierry Henry Arsenal
2004–05 John Terry Chelsea
2005–06 Steven Gerrard Liverpool
2006–07 Cristiano Ronaldo Manchester United
2007–08 Cristiano Ronaldo Manchester United
2008–09 Ryan Giggs Manchester United
2009–10 Wayne Rooney Manchester United
2010–11 Gareth Bale Tottenham Hotspur
2011–12 Robin van Persie Arsenal
2012–13 Gareth Bale Tottenham Hotspur

Bao
la 18 la Bale msimu huu wa ligi, licha ya kufunga mabao pia amekuwa
nguzo ya Spurs hasa katika michezo dhidi ya United, Arsenal na West Ham
(Hapo juu ni mchezo na Arsenal)
0 comments:
Post a Comment