WIKIENDI
HII ENGLAND ni moto wa BPL, Barclays Premier League, na FA CUP, lakini
BIGI MECHI ni Jumapili kwenye Robo Fainali ya FA CUP Manchester United
itakapocheza na Mabingwa watetezi wa Kombe hilo Chelsea Uwanjani Old
Trafford lakini huko Anfield kutakuwa na mtanange kati ya Liverpool na
Tottenham kwenye Mechi ya BPL.
MECHI ZA WIKIENDI ENGLAND
RATIBA
Jumamosi Machi 9
FA CUP-ROBO FAINALI:
[SAA 9 Dak 45 Mchana]
Everton v Wigan Athletic
BPL: BARCLAYS PREMIER LEAGUE
[Saa 12 Jioni]
Norwich City v Southampton
Queens Park Rangers v Sunderland
Reading v Aston Villa
West Bromwich Albion v Swansea City
FA CUP-ROBO FAINALI:
[SAA 2 na Nusu Usiku]
Manchester City v Barnsley
Jumapili Machi 10
FA CUP-ROBO FAINALI:
[SAA 11 Jioni]
Millwall v Blackburn Rovers
BPL: BARCLAYS PREMIER LEAGUE
[Saa 12 Jioni]
Newcastle v Stoke City
[Saa 1 Usiku]
Liverpool v Tottenham Hotspur
FA CUP-ROBO FAINALI:
[SAA 1 na Nusu Usiku]
0 comments:
Post a Comment