Sunday, March 3, 2013


Rose mkisi kaimu katibu mkuu wa CHANETA


Na Baraka Adson

Mchakato wa kuchukua fomu za kugombea nafasi mbalimbali ndani ya chama cha Netball Tanzania CHANETA unaendelea ambapo mpaka sasa wajumbe kutoka mikoa mitano wameshatuma maombi ya kuwania nafasi za uongozi, lakini kwa mkoa wa Dar es salaam hakuna mtu yeyote ambaye amejitokeza.
Rose Mkisi Kaimu katibu mkuu wa CHANETA, amesema nafasi za juu za uongozi hakuna mtu aliyejitokeza mpaka sasa lakini bado muda upo na wanaamini watu watajitokeza kuwania nafasi za uongozi.
Nilimuuliza Mkisi kwanini watu wanasuasua kuchukua fomu, amejibu kuwa hadhani kama kuna kusuasua kwani muda upo na uchaguzi ni machi 23, lakini watatoa tamko machi 10 jinsi mambo yanavyokwenda.
Pia Mkisi amewataka watu wenye nia ya kuwania uongozi CHANETA kuendelea kujitokeza kuchukua fomu kwani utaratibu ni mzuri na haki itatendeka katika mchakato mzima wa uchaguzi.
Amesema katika fomu hizo wameeleza kila kitu, sifa za kugombea, katiba ya CHANETA, muda wa kurudisha fomu na wakwenda kufanya usaili mjinin Dodoma

0 comments:

 
voyeur porn porn movies sex videos hd porno video