Saturday, March 9, 2013

>>JUMAMOSI: YANGA v TOTO, AZAM v POLISI!!
>>JUMAPILI: SIMBA v COASTAL UNION!!
UWANJA_WA_TAIFA_DARVINARA wa VPL, Ligi Kuu Vodacom, Yanga, Jumamosi wanatinga Uwanja wa Taifa Jijini Dar es Salaam kuwavaa ‘Wapwa’ zao Toto Africans ya Mwanza huku wao wakisaka ushindi ili wazidi kuipita Timu ya Pili Azam FC ambao pia Siku hiyo hiyo wapo Uwanjani kucheza na Polisi Morogoro huko Azam Complex kwenye Viunga vya Jiji la Dar es Salaam.
Nao Simba, ambao wako nafasi ya 3 wakiwa Pointi 5 nyuma ya Azam na 11 nyuma ya Yanga huku wakikabiliwa na mgogoro mkubwa Klabuni kwao uliopelekea kwa baadhi ya Wajumbe wa Kamati yao kujiuzulu, watacheza Jumapili na ‘Wapwa’ zao Coastal Uniontoka Tanga Uwanja wa Taifa, Dar es Saalam.
Ikiwa Coastal Union wataifunga Simba basi watawang’oa toka nafasi ya 3 kwani Timu zote zina Pointi 31 na Simba iko juu tu kwa ubora wa Tofauti ya Magoli lakini pia Coastal wamecheza Mechi moja zaidi ya Simba.
RATIBA:
YOUNG AFRICANS v TOTO AFRICANS [UWANJA WA TAIFA, DAR ES SALAAM]
AZAM FC v POLISI MOROGORO [AZAM COMPLEX, DAR ES SALAAM]
Jumapili Machi 10
SIMBA SC v COASTAL UNION [UWANJA WA TAIFA, DAR ES SALAAM]
MSIMAMO:
NA
TIMU
P
W
D
L
GD
PTS
1
YANGA
18
13
3
2
23
42
2
AZAM FC
18
11
3
4
16
36
3
SIMBA
18
8
7
3
11
31
4
COASTAL
19
8
7
4
5
31
5
MTIBWA
20
8
7
5
4
31
6
RUVU SHOOTING
18
8
5
5
4
29
6
KAGERA
19
7
7
5
2
28
8
JKT OLJORO
20
6
7
7
-2
25
9
MGAMBO
20
7
3
10
-5
24
10
PRISONS
20
4
8
8
-6
20
11
JKT RUVU
18
5
4
9
-12
19
12
POLISI
19
3
7
9
-9
16
12
TOTO
19
2
8
9
-12
14
13
LYON
20
3
4
13
-19
13
+++++++++++++++++++++++++++

0 comments:

 
voyeur porn porn movies sex videos hd porno video