Thursday, March 7, 2013



>>TAYARI ROBO FAINALI NI REAL, DORTMUND, JUVE & PSG!
>>WIKI IJAYO BALAA KWA ARSENAL, BARCA, KUFUZU??
UEFA_CHAMPIONZ_LIGI_LOGO-BOMBAZ+++++++++++++++++++++++++++++
MATOKEO:
-Kwenye Mabano Jumla ya Mabao kwa Mechi 2
Jumatano 6 Machi 2013
Juventus 2 Celtic 0 [5-0]
Paris St Germain 1 Valencia 1 [3-2]
+++++++++++++++++++++++++++++
JUVENTUS 2 CELTIC 0
BAO za Alessandro Matri na Fabio Quagliarella zimewapa ushindi wa Bao 2-0 Juventus na kuitoa nje ya UCL Celtic kwa Jumla ya Bao 5-0 kwa Mechi mbili na wao kujikita Robo Fainali.
VIKOSI:
Juventus: Buffon, Barzagli, Marrone, Bonucci, Padoin, Vidal, Pirlo, Pogba, Peluso, Quagliarella, Matri
Akiba: Storari, Chiellini, Vucinic, Giovinco, Asamoah, Giaccherini, Isla.
Celtic: Forster, Matthews, Wilson, Kayal, Izaguirre, Commons, Wanyama, Ledley, Mulgrew, Samaras, Hooper
Akiba: Zaluska, Ambrose, Miku, Stokes, Nouioui, McGeouch, Forrest.
Refa: Firat Aydinus (Turkey)
PSG 1 VALENCIA 1
Paris St-Germain wametinga Robo Fainali ya UCL kwa mara ya kwanza baada ya Miaka 18 walipotoka sare ya Bao 1-1 na Valencia na wao kusonga kwa Jumla ya Mabao 3-2 katika Mechi mbili.
Jonas alitangulia kuifungia Valencia katika Dakika ya 55 na kuleta matumaini lakini Ezequiel Lavezzi akasawazisha.
PSG walicheza Mechi hii bila ya Supastaa wao Zlatan Ibrahimovic ambae amefungiwa baada ya kula Kafi Nyekundu katika Mechi ya kwanza na Valencia.
Pia, Nguli wao, David Beckhama, hakupata fursa ya kucheza ingawa alikuwa Benchi.
VIKOSI:
PSG: Sirigu, Jallet, Thiago Silva, Alex, Maxwell, Chantome, Thiago Motta, Matuidi, Pastore, Lucas Moura, Lavezzi
Akiba: Douchez, Sakho, Camara, Gameiro, Armand, Van Der Wiel, Beckham.
Valencia: Guaita, Barragan, Mathieu, Victor Ruiz, Cissokho, Parejo, Albelda, Feghouli, Tino Costa, Jonas, Soldado
Akiba: Diego Alves, Ever, Piatti, Joao Pereira, Haedo Valdez, Guardado, Canales.
Refa: Milorad Mazic (Serbia)
UCL: RAUNDI YA MTOANO YA TIMU 16
RATIBA:
-Mechi zote kuanza Saa 4 Dak 45 Usiku
-Kwenye Mabano Matokeo Mechi ya Kwanza
Jumanne 12 Machi 2013
Barcelona v AC Milan
Schalke v Galatasaray
Jumatano 13 Machi 2013
Bayern Munich v Arsenal
Malaga v FC Porto
+++++++++++++++++++++++++++
ROBO FAINALI:
Mechi ya 1=Tarehe 2 na 3 Aprili 2013
Mechi ya 2= Tarehe 9 na 10 Aprili 2013
NUSU FAINALI
Mechi ya 1= Tarehe 23 na 24 Aprili 2013
Mechi ya 2= Tarehe 30 Aprili  na 1 Mei 2013
FAINALI
25 Mei 2013
UWANJA wa WEMBLEY, London.

0 comments:

 
voyeur porn porn movies sex videos hd porno video