Thursday, March 14, 2013

Close: Laurent Koscielny scored late in the match to set up a tense finish
Laurent Koscielny akifunga bao la pili kwa kichwa dakika za mwishoni

Fracas: Goalkeeper Manuel Neuer tries to hold onto the ball to buy some time for Bayern
Kipa wa Bayern Munich, Manuel Neuer akiuzuia mpira dhidi ya wachezaji wa Arsenal baada ya kufungwa bao la pili, ili kupoteza muda
Game on: Olivier Giroud scored early in the match to put pressure on the German hosts
Olivier Giroud akifunga bao la mapema lililowatia presha wenyeji
Booked: Thomas Rosicky looks dejected after a heavy tackle on Arjen Robben

 homas Rosicky akionekana mwenye hasira baada ya kupewa kadi ya njano kwa kumchezea rafu Arjen Robben

>>ROBO FAINALI KAMILI: REAL, DORTMUND, JUVE, PSG, BARCA, GALATASARAY, BAYERN & MALAGA!
>>DROO NI IJUMAA!!!
>>NI MARA YA KWANZA TANGU 1995/6 ENGLAND KUTOKUWA NA TIMU ROBO FAINALI!!
UEFA_CHAMPIONZ_LIGI_LOGO-BOMBAZARSENAL leo walikufa kiume huko Allianz Arena Jijini Munich kwa kuitwanga Bayern Munich Bao 2-0 na kufanya Mechi mbili kati yao kuwa Jumla Bao 3-3 lakini wamekwenda nje ya UCL, UEFA CHAMPIONZ LIGI, kwa Mabao ya ugenini kwa vile wao walipigwa kwao Emirates Bao 3-1 na kuiacha Bayern ikitiririka Robo Fainali.
Safu ya Robo Fainali ya Timu 8 imekamilika kwa Malaga nao kushinda Bao 2-0 dhidi ya FC Porto ambao waliifunga Malaga Bao 1-0 katika Mechi ya Kwanza.
Droo ya kupanga Mechi za Robo Fainali itafanyika Ijumaa Machi 15.
 Aaron Ramsey


MALAGA 2 FC PORTO 0
Malaga, wakicheza kwao huku wakiwa nyuma kwa Bao 1-0 toka Mechi ya kwanza, wamefanikiwa kuingia Robo Fainali baada ya kuipiga FC Porto Bao 2-0.
+++++++++++++++++++++++++++
MAGOLI:
Malaga  2
-Isco Dakika ya 43
-Santa Cruz 77
FC Porto 0
+++++++++++++++++++++++++++
FC Porto walicheza Mechi hii tangu Dakika ya 49 wakiwa Mtu 10 pale Defour alipopewa Kadi Nyekundu.
VIKOSI:
Malaga: Willy, Jesus Gamez, Demichelis, Weligton, Antunes, Joaquin, Toulalan, Iturra, Isco, Julio Baptista, Saviola
Akiba: Kameni, Lugano, Camacho, Fernandez, Piazon, Sergio Sanchez, Santa Cruz.
FC Porto: Helton, Danilo, Otamendi, Mangala, Alex Sandro, Joao Moutinho, Fernando, Gonzalez, Varela, Martinez, Defour
Akiba: Fabiano, Maicon, Andre Castro, Rodriguez, Izmailov, Liedson, Atsu.
Refa: Nicola Rizzoli (Italy)
BAYERN MUNICH 0 ARSENAL 2
Arsenal walianza Mechi hii vizuri sana kwa kupata Bao la mapema katika Dakika ya 3 tu kupitia Giroud kufuatia kazi njema ya Theo Walcott.
+++++++++++++++++++++++++++
MAGOLI:
Bayern  0
Arsenal 2
-Giroud Dakika ya 3
-Koscielny 86
+++++++++++++++++++++++++++
Ili kutinga Robo Fainali, Arsenal walitakiwa wapiga Bao 3 lakini walimudu Bao mbili tu baada ya Koscielny kuipatia Bao la pili kwa kichwa katika Dakika ya 86.
Ushindi huu wa Arsenal wa Bao 2-0 haukutosha kwa kuwa walipigwa kwao Bao 3-1 na Jumla ya Magoli kwa Mechi mbili ni 3-3 na Bayern kupenya kwa wingi wa Magoli ya ugenini.
VIKOSI:
Bayern Munich: Neuer; Lahm, Dante, Van Buyten, Alaba; Martinez, Gustavo; Muller, Kroos, Robben; Mandzukic
Akiba: Starke, Rafinha, Contento, Shaqiri, Tymoshchuk, Pizarro, Gomez.
Arsenal: Fabianski; Jenkinson, Mertesacker, Koscielny, Gibbs; Arteta, Ramsey; Walcott, Rosicky, Cazorla; Giroud
Akiba: Mannone, Arshavin, Vermaelen, Ox, Diaby, Gervinho, Coquelin.
Refa: Pavel Kralovec (Czech Republic).
+++++++++++++++++++++++++++
ROBO FAINALI:
Mechi ya 1=Tarehe 2 na 3 Aprili 2013
Mechi ya 2= Tarehe 9 na 10 Aprili 2013
NUSU FAINALI
Mechi ya 1= Tarehe 23 na 24 Aprili 2013
Mechi ya 2= Tarehe 30 Aprili  na 1 Mei 2013
FAINALI
25 Mei 2013
UWANJA wa WEMBLEY, London.

0 comments:

 
voyeur porn porn movies sex videos hd porno video