Sunday, March 3, 2013




Na Baraka Adson

Kikao cha kamati ya utendaji ya chama cha soka ndani ya jiji la Mbeya kitafanyika machi 9 jumamosi mwaka huu kwenye ofisi za chama hicho zilizopo katika uwanja wa kumbukumbu ya sokonne jijini humo.

Elias Mwanjala, mwenyekiti wa MREFA amesema ajenda kuu katika kikao hicho ni kuandaa taarifa ya fedha tangu walipoingia madarakani mwishoni mwa mwaka jana kabla ya kuandaa mkutano mkuu pamoja na kujadili nini cha kufanya baada ya klabu ya Mbeya city kutinga michuano ya ligi ya Primia Ligi.

Mwanjala ameongeza kuwa kupanda ligi kuu si kazi sana, kazi kubwa ni kusalia ndani ya ligi hiyo, hivyo wanaangalia nini cha kufanya zaidi ili timu zote mbili yaani Mbeya city na Tanzania Prisons kufanya vizuri na kucheza ligi kuu kwa wakati wote.

Pia amewataka mashabiki, wadau wa soka na viongozi wa vyama, serikali, makampuni na mashirika binafsi kushiriki kuzichangia timu za mbaya kwa hali na mali ili kuurejesha mkao wa mbeya medani ya soka kama enzi za Meko, Sigara na Tukuyu stars.

0 comments:

 
voyeur porn porn movies sex videos hd porno video