Sunday, March 10, 2013


 Toleo la kuchapisha
BPL_LOGOKwenye Mechi mbili pekee za BPL, Barclays Premier League, zilizochezwa leo, Newcastle na Liverpool, zote zikicheza Nyumbani, zilitoka nyuma na kushinda Mechi zao kwa Liverpool kuifunga Tottenham Bao 3-2 huko Anfield na Newcastle kuichapa Stoke City Bao 2-1 Uwanjani St James Park.
NEWCASTLE 2 STOKE 1
Papiss Cisse alipiga Bao katika Dakika za majeruhi na kuwapa Newcastle, waliotoka nyuma kwa Bao 1-0, ushindi wa Bao 2-1.
++++++++++++
MAGOLI:
Newcastle 2
-Cabaye 72
-Cisse 90
Stoke 1
-Walters 67 (Penati)
++++++++++++
Bao zote 3 zilifungwa Kipindi cha Pili na Stoke City ndio walitangulia kufunga kwa Penati ya Jonathan Walters kufuatia madhambi ya Chieck Tiote kwa Walters.
Lakini frikiki murua ya Yohan Cabaye iliwapa Newcastle sare ya Bao 1-1 na Cisse kuwapa ushindi kwa kupiga Bao la pili na la ushindi.
VIKOSI:
Newcastle: Elliot, Debuchy, Steven Taylor, Yanga-Mbiwa, Santon, Cabaye, Tiote, Gutierrez, Sissoko, Gouffran, Cisse
Akiba: Harper, Anita, Perch, Haidara, Marveaux, Obertan, Campbell.
Stoke: Begovic, Cameron, Shawcross, Wilson, Wilkinson, Shotton, Whelan, Nzonzi, Walters, Jerome, Crouch
Akiba: Sorensen, Jones, Owen, Adam, Whitehead, Kightly, Shea.
Refa: Andre Marriner
LIVERPOOL 3 TOTTENHAM 2
Penati ya Dakika ya 82 ya Nahodha Steven Gerrard imewapa Liverpool ushindi wao Bao 3-2 walipocheza na Tottenham Uwanjani Anfield.
Liverpool ndio walitangulia kwa Bao la Luis Suarez lakini Bao mbili za Jan Vertonghen ziliwafanya Tottenham waongoze kwa Bao 2-1.
++++++++++++
MAGOLI:
Liverpool 3
-Suarez Dakika ya 21
-Downing 66
-Gerrard 82 (Penati)
Tottenham 2
-Vertonghen Dakika ya 45 & 53
++++++++++++
Lakini uzembe wa Kyle Walker kutaka kurudisha pasi nyuma iliyonaswa na Stewart Downing na kufunga ndio iliwaua Tottenham.
Liverpool walifunga Bao la 3 kwa Penati iliyotokana na Benoit Assou-Ekotto kumchezea Rafu Suarez.
VIKOSI:
Liverpool: Jones, Johnson, Carragher, Agger, Jose Enrique, Lucas, Gerrard, Downing, Suarez, Coutinho, Sturridge
Akiba: Gulacsi, Skrtel, Shelvey, Allen, Henderson, Sterling, Wisdom.
Tottenham: Lloris, Walker, Vertonghen, Dawson, Assou-Ekotto, Parker, Livermore, Bale, Dembele, Sigurdsson, Defoe
Akiba: Friedel, Huddlestone, Gallas, Naughton, Holtby, Caulker, Carroll.
Refa: Michael Oliver
++++++++++++++++++++++
RATIBA
BPL: BARCLAYS PREMIER LEAGUE
Jumamosi Machi 16
[Saa 9 Dak 45 Mchana]
Everton v Manchester City
[Saa 12 Jioni]
Aston Villa v Queens Park Rangers
Southampton v Liverpool
Stoke City v West Bromwich Albion
Swansea City v Arsenal
[Saa 2 na Nusu Usiku]
Manchester United v Reading
Jumapili Machi 17
[Saa 10 na Nusu Jioni]
Sunderland v Norwich City
[Saa 12 Jioni]
Tottenham v Fulham
[Saa 1 Usiku]
Wigan Athletic v Newcastle United
Chelsea v West Ham

0 comments:

 
voyeur porn porn movies sex videos hd porno video