Wednesday, February 27, 2013

ULIPIZA KISASI KWA KAGERA SUGAR??
>>VIINGILIO SH 5,000/= HADI SH 20,000/=
UWANJA_WA_TAIFA_DARVINARA wa VPL, Ligi Kuu Vodacom, Yanga leo wanatinga Uwanja wa Taifa Dar es Salaam wakisaka ushindi dhidi ya Kagera Sugar ambao utawafanya wakwee juu zaidi kileleni na kuwa Pointi 6 mbele ya Timu ya Pili Azam FC na pia kulipiza kisasi kwa Kagera Sugar ambayo iliifunga Yanga Bao 1-0 katika Raundi ya Kwanza ya Ligi hii.
Yanga, chini ya Kocha Ernest Brandts, imekuwa ikifanya vizuri kwenye Ligi na juzi ilizima tishio la Azam FC kuwapiku kileleni kwa kuifunga Bao 1-0 kwa Bao la Haruna Niyonzima.
Viingilio kwa ajili ya Mechi hii ya Yanga na Kagera Sugar ni Sh. 5,000 (Viti vya bluu na kijani), Sh. 8,000 (Viti vya rangi ya chungwa), Sh. 15,000 (VIP C na B) na Sh. 20,000 (VIP A).
Pia leo zipo Mechi nyingine 5 za Ligi.
VPL: RATIBA:
Jumatano Februari 27
COASTAL UNION v RUVU SHOOTING [MKWAKWANI, TANGA]
YANGA v KAGERA SUGAR [UWANJA WA TAIFA,  DAR ES SALAAM]
POLISI MOROGORO v MGAMBO JKT [JAMHURI , MOROGORO]
JKT RUVU v TOTO AFRICANS [AZAM COMPLEX, DAR ES SALAAM]
MTIBWA SUGAR v TANZANIA PRISONS [MANUNGU, MOROGORO]
Jumamosi Machi 2
POLISI MOROGORO v JKT OLJORO [JAMHURI, MOROGORO]
Jumatano Machi 6
JKT OLJORO v TANZANIA PRISONS [SH. AMRI ABEID, ARUSHA]
AFRICAN LYON FC v RUVU SHOOTINGS [AZAM COMPLEX, DAR ES SALAAM]
MGAMBO JKT v MTIBWA SUGAR [MKWAKWANI, TANGA]
Alhamisi Machi 7
JKT RUVU v KAGERA SUGAR [AZAM COMPLEX, DAR ES SALAAM]
Jumamosi Machi 9
YOUNG AFRICANS v TOTO AFRICANS [UWANJA WA TAIFA, DAR ES SALAAM]
AZAM FC v POLISI MOROGORO [AZAM COMPLEX, DAR ES SALAAM]
Jumapili Machi 10
SIMBA SC v COASTAL UNION [UWANJA WA TAIFA, DAR ES SALAAM]
MSIMAMO:
NA
TIMU
P
W
D
L
GD
PTS
1
YANGA
17
12
3
2
22
39
2
AZAM FC
18
11
3
4
16
36
3
SIMBA
18
8
7
3
11
31
4
COASTAL
17
8
6
3
6
30
5
MTIBWA
17
7
5
5
3
26
6
RUVU SHOOTING
15
7
3
5
3
24
7
KAGERA
16
6
6
4
2
24
8
JKT OLJORO
17
5
6
6
-1
21
10
MGAMBO
17
6
3
8
-5
21
9
PRISONS
18
4
7
7
-5
19
11
JKT RUVU
17
4
4
9
-13
16
12
TOTO
17
2
7
8
-11
13
13
LYON
17
3
3
11
-18
12
14
POLISI
16
2
5
9
-10
11

0 comments:

 
voyeur porn porn movies sex videos hd porno video