Tuesday, February 12, 2013

>>YANGA KUIACHA AZAM KWA POINTI??
UWANJA_WA_TAIFA_DARVINARA wa VPL, Ligi Kuu Vodacom, Yanga wanashuka dimbani Jumatano kwenye Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam kucheza na Timu ya mkiani African Lyon na ushindi kwao utawafanya waiache Azam FC kwa Pointi 3 huku wote wakiwa wamecheza Mechi sawa.
Majuzi, Azam FC, ikicheza huko Manungu, Morogoro, iliichapa Mtibwa Sugar Bao 4-1 na kuwafikia Vinara Yanga kileleni kwa Pointi, wote wakiwa na Pointi 33, lakini Yanga walibaki juu kwa ubora wa Tofauti ya Magoli huku Azam wakiwa pia wamecheza Mechi moja zaidi.
+++++++++++++++++++++++++++
MSIMAMO:
NA
TIMU
P
W
D
L
GD
PTS
1
YANGA
15
10
3
2
17
33
2
AZAM FC
16
10
3
3
13
33
3
SIMBA
16
7
7
2
11
28
4
COASTAL
16
7
6
3
4
27
5
RUVU SHOOTING
15
7
3
5
3
24
6
KAGERA
16
6
6
4
2
24
7
MTIBWA
16
6
5
5
2
23
8
JKT OLJORO
16
5
6
5
1
21
9
PRISONS
16
4
6
6
-4
18
10
MGAMBO
16
5
3
8
-6
18
11
JKT RUVU
15
4
4
7
-8
16
12
TOTO
16
2
7
7
-9
13
13
POLISI
15
2
4
9
-10
10
14
LYON
16
2
3
10
-16
9
+++++++++++++++++++++++++++
Mbali ya Mechi ya Yanga na African Lyon pia zipo Mechi nyingine 4 katika Viwanja mbalimbali.
VPL: RATIBA/MATOKEO:
13.02.2013.  KAGERA SUGAR v COASTAL UNION [KAITABA, KAGERA]
13.02.2013.  TOTO AFRICANS v POLISI MOROGORO  [CCM KIRUMBA, MWANZA]
13.02.2013.  MGAMBO JKT v JKT OLJORO [MKWAKWANI, TANGA]
13.02.2013.  MTIBWA SUGAR v FC RUVU SHOOTING [MANUNGU, MOROGORO]
13.02.2013.  AFRICAN LYON FC v YOUNG AFRICANS [UWANJA WA TAIFA, DAR ES SALAAM]

0 comments:

 
voyeur porn porn movies sex videos hd porno video