Wednesday, January 16, 2013



Wachimbaji wadogo wa madini Wilayani Ruangwa wametakiwa kuacha kufanya kazi katika mfumo usio rasmi badala yake wabadilike kwa kuingia katika mfumo rasmi ambao utawawezesha kukubalika na taasisi za fedha kutokana na kukua kwa sekta ya Madini Duniani 
BI AGNESS HAKORORO, MKUU WA WILAYA YA RUANGWA AKIZUNGUMZA WAKATI WA MAFUNZO YA WACHIMABJI WADOGO WA MADINI

Wito huo Umetolewa na Mkuu wa Wilaya ya Ruangwa Mkoani Iindi,Bi Agness Hokororo wakati akifungua mafunzo ya siku mbili ya wachimbaji wadogo wa madini ambapo amebainisha
kuwa uchimbaji mdogo ni sekta ya kibiashara ambayo inaweza kuongeza kipato cha wananchi kwa kuongeza ajira na kuchangia ukuaji wa pato la taifa.


Mafunzo hayo ya siku mbili yamewezeshwa na Wizara ya Nishati na Madini na kuratibiwa na ofisi ya Kamishna wa Madini kanda ya kusini na kuhusisisha Wachimbaji wadogo,Madiwani,Watendaji wa vijiji/kata

0 comments:

 
voyeur porn porn movies sex videos hd porno video