Kutoka kwa Bin Zubeiry blog
KESHOKUTWA Yanga itacheza mchezo wa kwanza wa kujipima nguvu tangu
ierejee kutoka Uturuki ilipoweka kambi ya gharama kubwa ya mafunzo na Black
Leopard ya Afrika Kusini kwenye Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam.
Katika mechi 15 zilizopita za klabu ya Black Leopard ya
Afrika Kusini, imemudu kushinda mechi mbili tu, nyingine zote imefungwa na
kutoka sare. Tafakari hii timu ni kibonde kiasi gani? Tazama mechi zake tangu
Septemba 2, mwaka jana. Je, hiki ni kipimo kwa Yanga iliyotoka Ulaya kweli?
REKODI YA BLACK LEOPARD TANGU SEPTEMBA
Sept 2/2012 PSL
Black Leopards 0 – 0 Chippa United
Sept 19/2012 PSL
Kaizer Chiefs 2 – 1 Black Leopards
Sept 25/2012 PSL
Black Leopards 2 – 2 Maritzburg United
Sept 29/2012 PSL
Golden Arrows 0 – 0 Black Leopards
Okt 7/10/12 PSL
Black Leopards 3 – 3 SuperSport United
Okt 20/2012 LEC
Black Leopards 0 – 2 Orlando Pirates
Okt 27/2012 PSL
Moroka Swallows 2 – 2 Black Leopards
Nov 7/2012 PSL
Black Leopards 0 – 1 Platinum Stars
Nov 11/2012 PSL
Ajax Cape Town 0 – 1 Black
Leopards
Nov 21/2012 PSL
Black Leopards 0 – 4 Orlando Pirates
Nov 24/2012 PSL
Pretoria Unive…1 – 2 Black Leopards
Des 5/2012 PSL
Black Leopards 1 – 1 AmaZulu View
Des 9/2012 PSL
Mamelodi Sundowns 1 – 0
Black Leopards
Des 15/2012 PSL
Black Leopards 1 – 2 Free State Stars
Des 19/2012 PSL
Bloemfontein C 1 – 1 Black Leopards
0 comments:
Post a Comment